Jay Z na Mkewe Beyonce Wamkataa Kanye West..."Wadai Ana Njaa ya Umaarufu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


RadarOnline Imeripoti kuwa Beyonce na Jay-Z hawana mpango tena wa kurudisha mahusiano bora kati yao na familia ya Kanye West na Kim Kardashian.

Jay Z ,48, na Beyonce ,37, ambao wametajwa kutaka kuingia kwenye siasa mbeleni hawataki kuwa karibu na mtu kama Kanye mwenye njaa ya umaarufu na yuko tayari kufanya jambo lolote ata kuchafua jina lake kwa kuunga mkono uongozi wa Donald Trump.

Kama inavyojulikana Kim Kardashian, 37, na Kanye West, 41, wamekuwa wakijaribu kurudisha urafiki wao na Hollywood’s most beloved couple Jay Z na Beyonce..

Msemaji wa Jay Z ameondoa maswali yote kuhusu Kanye na Donald Trump kwenye interview zijazo za JAYZ

Mwanzoni mwa mwaka huu Beyonce na Jay-Z walimnunulia mtoto wa Kanye na Kim Kardashian #Chicago zawadi ya Bracelet yenye thamani ya dola $26,000.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad