Kwa niaba ya CCM: Polepole Akutana na Wasanii wa Bongo Fleva na Filamu Kujadili Changamoto zao (Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole leo Oktoba 23, 2018 amekutana na Wasanii wa filamu na Bongo Fleva kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba kwenye kazi zao.

Akizungumzia juu ya tukio hilo, RC Makonda amesema kuwa na yeye alialikwa kwenye kikao hicho kujadili changamoto hizo.

Hata hivyo, kikao hicho kilichofanyika kwa siri katika Hoteli ya Selena jijini Dar Es Salaam haijaelezwa kama kulikuwa na agenda nyingine zaidi ya kujadili changamoto.

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad