Mr. II 'Sugu' atangaza zawadi ya Tsh. Milioni 1, kisa Hiki Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mr. II 'Sugu' atangaza zawadi ya Tsh. Milioni 1, kisa Hiki Hapa
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi a.k.a Mr. II 'Sugu' ametenga kiasi cha Tsh. Milioni moja kwa mwenye picha yake akiwa amevaa sare za mfungwa.

Mr. II 'Sugu ambaye ana histori kubwa sana kwenye muziki wa Bongo Fleva hasa kwa upande wa hip hop ameeleza kuwa picha hiyo ni kwa ajili ya cover la kitabu chake kipya.
Mtu yeyote mwenye picha yangu nikiwa nimevaa sare za MFUNGWA tuwasiliane, inahitajika kwa ajili ya cover la KITABU changu kipya 'SIASA NA MAISHA; FROM PARLIAMENT TO PRISON' . Na ZAWADI ya Tsh 1,000,000/= itatolewa kwa atakayeleta picha nzuri itakayotumika
Utakumbuka kuwa Mr. II 'Sugu'  Sugu aliachiwa huru  May 10, 2018 baada kutumikia kifungo jela kwa zaidi ya miezi minne. Alihukumiwa kifungo cha miezi mitano jela February 26, 2018 kwa kutoa lugha ya fedhea dhidi ya Rais John Magufuli.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad