Mwana FA, Zitto Kabwe Wapata Kigugumizi Kuhusu Picha ya Gari Inayodaiwa Kumteka Mo Dewji ‘Kamanda Sirro hapana’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwana FA, Zitto Kabwe Wapata Kigugumizi  Kuhusu Picha ya Gari Inayodaiwa Kumteka Mo Dewji ‘Kamanda Sirro hapana’
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe na Msanii wa muziki nchini Tanzania, Mwana FA wamehoji kuhusu picha ya gari inayosadikika kumteka Mo Dewji kwa kudai kuwa eneo la picha hiyo iliyooneshwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Sirro haijapigwa eneo la tukio.



Zitto na Mwana FA wote wametumia kurasa zao za mtandao ya kijamii wa Twitter, kueleza mitazamo yao ambapo wote wameeleza kuwa picha iliyooneshwa na IGP Sirro haijapigwa na CCTV Kamera.

“Hawa Polisi @tanpol wanadhani kila Mtanzania ni zwazwa anaweza kudanganywa danganywa tu. Taratibu za gari kupita mpakani zinatia mashaka makubwa kauli ya IGP. Polisi na vyombo vya usalama nchini hutumia plate number za Kigeni. Ile picha ya gari sio ya CCTV. Kamanda Sirro HAPANA.“ameandika Zitto Kabwe.



Leo Jumanne IGP Sirro akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam ameionesha picha ya Gari aina ya Surf inayodaiwa kumteka Mo Dewji huku ikiwa na Plate Namba za kigeni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad