Ndugu Wakataa Kuuchukua Mwili wa Mzee Aliyeuawa Kwa Risasi na Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ndugu wa marehemu, Edward Mahende(73) wamefikia uamuzi huo kwa maelezo kuwa Jeshi la Polisi Mkoani Mara limeshindwa kutoa sababu za kifo hicho

Wamesema kuwa wako tayari kukaa hata mwezi bila ya kuzika mpaka watakapopewa majibu ya kuridhisha kuhusu kifo cha mpendwa wao

Mdogo wa marehemu amesema wamekataa kuuchukua mwili huo ingawa Jeshi la Polisi Mara limeahidi kutoa jeneza na usafiri

Jeshi la Polisi Mkoani Mara lilikiri kumuua kwa risasi Mzee Mahende wakati wa msako wa wezi wa Ng'ombe - #regrann
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad