Nina Mwaka Kwenye Ndoa Leo Ndio Ninagundua Mke Wangu Ana Tattoo ya Jina la Mwanaume Mwingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Habari Wadau wa Udaku...
Leo nimeuzika sana wadau Asubuhi wakati napata morning Glory kwa Mke wangu nimegundua Kwenye Titi Sehemu ya chini ana Tatto imeandikwa "I lov u James" kwa Maandishi Madogo sana kama haupo makini unaweza usiyaone...Nimekaa nae Mwaka mzima Leo ndio nakuja ona Nilivyojaribu kumuuliza anakuwa mkali na kusema ni jina la Ex Wake kabla hajakutana na Mimi....Wadau Hapo Mnanishaurije ? Kila nikiona hiyo Tatoo Am Sure Mood zitakuwa zikiniisha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ulivyogundua mzigo ulikata au hata lile tundu lilipotea, we piga mzigo mwambie awaandike wote majina hata anaoendelea nao sasa lakini hakikishe hatoki hapo, afanye lolote hawezi kuondoa status kuwa yeye ni mkeo.
    Pumbavu kabisa, nakuuliza sababu unaniambia eti ni X mi unaifuta hapo hapo kinyume na hapo unaenda kumleta James hapa au unahamia kwake

    ReplyDelete
  2. Usijari sana maana ulimkuta cyo bikira hivyo aliyemtoa bikira ndio mwanaume wake wa kwanza kwake na ni halali kabisa kuchota hiyo tatoo. cha msingi samehe coz ww sio mwanaume wakwanza kwake. kingine huyo mkeo ulimkuta mazingira gani. peleleza mpaka umjue huyo james pasipo kujua mkeo na fuatilia kwa umakini zaidi utagundua ukweli na mkeo usimfokee jifanye yamepita

    ReplyDelete

Top Post Ad