Penzi la Justin Bieber Lasababisha Selena Gomez Kulazwa Hospital ya Wagonjwa wa Akili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Pop Staa Justin Bieber amejiskia vibaya na kama mwenye makosa baada ya kusikia taarifa za kuumwa na kulazwa kwa Ex wake Selena Gomez.

Selena Gomez aliachana na The Weeknd baada ya kufanyiwa upasuaji wa figo na kurudiana na Justin Bieber, hawakudumu na baada ya wiki kadha walitengana tena na Justin alirudiana na Hailey Baldwin ambao baada ya wiki kadha waliripotiwa kufunga ndoa.

Sasa Justin anaona kutengana kwake na Selena na kufunga ndoa na Hailey Baldwin kumechangia Ex wake huyo kuzidiwa mpaka kupelekwa hospitali ya wagonjwa wa akili
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad