PICHA: Muonekano wa Ndani wa Gari Lililomteka Mo Dewji.........Watekaji Walitaka Kulichoma Moto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

PICHA: Muonekano wa Ndani wa Gari Lililomteka Mo Dewji.........Watekaji Walitaka Kulichoma MotoMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema watu wanaodaiwa kumteka mfanyabiashara Mohammed Dewji, walitaka kulichoma moto gari lililotumika kumteka mfanyabiashara huyo mara baada ya kulitelekeza eneo la Gymkhana

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo, IGP Simon Sirro amesema kupitia jeshi hilo limefanikiwa kukamata silaha 4 ziliyokuwa na risasi nyingi na zimekutwa ndani ya gari hiyo ambayo inadaiwa kumteka mfanyabaishara Mo Dewji.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad