10/15/2018

Picha ya Mtoto wa Rais Museven Akiwa na Kanye West na Kim Kardashian Yazua Utata


Mtoto wa Kike wa Rais Museven wa Uganda, Bibie Diana Kamuntu Museven Akiiokota Na Kina Kanye West na Kim Kardashian

Bado watu wanajiuliza Je Walitembelea Ikulu ya Uganda Au Bi Dada aliwafata Porini walipofikia?

Ila Kwa Ego Ya Yeezy ilivyo hawezi Kukatisha Ratiba zake na kwenda Ikulu.Mjadala huu unaendelea katika Mitandao mbali mbali Uganda

Cheki kwanza Buti lilivyokaa ki kazi kazi
Kwa hisani ya @ugandanallstar


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger