Walinzi Wafunguka Jinsi Walivyompa Msaada Mo Dewji Usiku

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Walinzi waelezea jinsi walivyompa msaada Mo Dewji usiku
Meneja mkuu wa kampuni ya ulinzi ya Ultimate, Eliuta Mwanjawike amesema mfanyabiashara maarufu nchini Mo Dewji aliwafuata askari wao huku akitoa maneno ya kuomba msaada siku aliyoachiwa na watekaji.

Alisema kuwa wakati walinzi wake wakiwa eneo lao la kazi walimuona mtu akiwafuata na kutoa maneno ya kuomba msaada huku bado walikuwa hawakumjua kama ni Mo Dewji.

"Kwakuwa alikuwa kwenye hali ambayo asingeweza kujulikana vizuri alianza kuongea kwa kujitambulisha jamani mimi ni Mo ni yule Mohamed Dewji niliyetekwa naomba mnisaidie nipo kwenye hatari ndipo walimchukua na kumpa msaada na mwenyewe aliomba apelekwe hoteli ya southern sun ndipo kumpa simu ampigie baba yake na wbaada ya muda walikuja kumchukua katika hoteli hiyo"

Oktoba 20, 2018 saa nane usiku watu waliomteka mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ walimtelekeza katika viwanja vya Gymkhana katikati ya jiji la Dar es Salaam.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad