AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Dakika 90 za mchezo wa Ligi Kuu Bara (TPL) mzunguko wa 10 umendelea leo Oktoba 20 baina ya timu ya Yanga na Alliance FC ambapo umemalizikwa kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 3-0
Mechi hiyo iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imeshuhudiwa mabao ya Yanga yakikwekwa kimiani na Heritier Makambo, Mrisho Khalfan Ngassa, na Ibrahim Ajib.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK