Amber Lulu’ Afunguka Sababu za Kurudisha Penzi kwa Prezzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Amber Lulu’ Afunguka Sababu za Kurudisha Penzi kwa Prezzo
N love again! Sexy lady wa Bongo Fleva anayefanya poa na ngoma yake ya Jini Kisirani’, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amefunguka sababu za kurudisha penzi kwa mwanamuziki wa nchini Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’ baada ya kumwagana naye miezi kadhaa iliyopita.

Katika intavyu na Over Ze Weekend, Amber Lulu aliweka wazi kuwa, huko nyuma aliteswa, kuumizwa na mara nyingine kuchezea vitasa kutokana na mapenzi, lakini alipoingia kwa Prezzo alijiona yuko peponi hivyo walipoachana, aliona kuna sababu ya kurudisha mapenzi kwake.

“Nilipata maumivu sana kwenye mapenzi, nilidhalilishwa na kuumizwa. Kuna wakati nilipigwa sana, yaani nilikuwa kama teja, lakini siyo wa kuvuta unga, bali ni wa mapenzi, lakini kwa Prezzo nilikuta tofauti. Nimeona nirudishe penzi kwa nguvu zote,” alisema Amber Lulu ambaye aliwahi kutoka kimapenzi na msanii David Genzi ‘Young D’.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad