Amber Lulu "Wapenzi Wangu wa Nyuma Walinipiga na Kuniumiza Nikawa Kama Teja..ila Kwa Prezzo Nimekuta Tofauti"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Video vixen na Msanii wa muziki wa Bongo fleva Lulu Eugen maarufu kama Amber Lulu Amerudisha Penzi lake na msanii kutoka Kenya Prezzo Baada ya kuchana kwa miezi kadhaa.

Tetesi za wawili hao kurudiana zilishika kasi  katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita Baada ya Amber Lulu kuposti picha ya Prezzo kwenye ukurasa wake wa Instagram.



Kwenye mahojiano yake na Global Publishers, Amber Lulu aliweka wazi kuwa, huko nyuma aliteswa, kuumizwa na mara nyingine kuchezea vitasa kutokana na mapenzi, lakini alipoingia kwa Prezzo alijiona yuko peponi hivyo walipoachana, aliona kuna sababu ya kurudisha mapenzi kwake.

Nilipata maumivu sana kwenye mapenzi, nilidhalilishwa na kuumizwa. Kuna wakati nilipigwa sana, yaani nilikuwa kama teja, lakini siyo wa kuvuta unga, bali ni wa mapenzi, lakini kwa Prezzo nilikuta tofauti. Nimeona nirudishe penzi kwa nguvu zote”.

Prezzo alimwaga Amber Lulu miezi michache iliyopita Baada ya picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii akiwa anafanya kitendo kichafu na msanii mwenzake Nuh Mziwanda.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad