Daimond, WCB, Rayvany Watonzwa Faini ya Milioni 9 na Basata.... Watakiwa Kufuta Wimbo You Tube

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Daimond, WCB, Rayvany Watonzwa Faini ya Milioni 9 na Basata.... Watakiwa Kufuta Wimbo You Tube
Basata waipa adhabu kali WCB, Daimond pamoja na Rayvany wametakiwa kulipwa faini ya milioni tatu kila mmoja ambapo jumla ya wote watatakiwa kutoa milioni 9 kutookana na maudhui mabovu ya wimbo wa 'Mwanza'.

Mbali na apo wametakiwa kuuondoa wimbo huo You Tube  na watakapokaidi kufanya hivyo Basata ipo tayari kuwafungia.

''Sisi Kama Basata tumewasisitia wauondoe huo wimbo kwenye mitandao ya kijamii ususani You Tube vile vile wausika wote Rayvany, Daimond na Wasafi tumewatoza milioni tatu tatu kila mmoja na tunawataka vyombo vya habari na kwa mtu yoyote wasiupige mahali popote"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad