11/12/2018

Dereva Aliyewasafirisha Majambazi Waliomteka Mo Dewji Afunguka Ilivyokuwa

Dereva Aliyewasafirisha Majambazi Waliomteka Mo Dewji Afunguka Ilivyokuwa
Nyumba inamodaiwa kufichwa Mohamed Dewji mara baada ya kutekwa Okotoba 11, 2018 katika Hoteli ya Colessium imegundulika na imeoneshwa leo na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa. Nyumba hiyo ipo Mbezi Beach, mtaa wa Mwansasu jijini Dar es salaam.

Imeelezwa watekaji walipanga nyumba hiyo kwa dola 1500, walikuwa ni raia wa Afrika Kusini na kwamba Oktoba 20 baada ya kumuachia na kumtelekeza katika viwanja vya Gymkhana, vilivyopo maeneo ya Posta waliondoka katika jiji la dar kupitia kwa kutumia usafairi wa mabasi ya abiria.

Dereva Taksi aitwae TWALIB MUSSA aliyetawafutia nyumba na kuwatembeza mjini, amekamatwa na ameongea mbele ya wanahabari kutoa ushuhuda wake kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

1 comment:

  1. HUYO DEREVA HAKUTAKA BILLIONI MOJA ILIYOTANGAZWA NA FAMILIA YA MO?

    ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger