FA Atinga Basata ''Haimanishi Uwepo Wangu Ukaimba Unachotaka''

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

FA Atinga Basata ''Haimanishi Uwepo Wangu Ukaimba Unachotaka''
Msanii wa muziki nchini, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya BASATA, amefika katika Ofisi za baraza hilo katika kutekeleza majukumu yake.



Rapper huyo pamoja na msanii wa Bongo Movie Single Mtambalike alimaarufu Richi waliteuliwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harison Mwakyembe kuwa miongoni mwa wajumbe watano walioteuliwa.

FA amefika BASATA mapema asubuhi ya leo siku ya Jumatano huku kukiwa na sakata la kufungiwa kwa wimbo wa WCB unaofahamikwa kwa jina la Mwanza uliyoimbwa na Rayvanny kwa kushirikiana na DiamondPlatnumz wakati sababu kubwa zikielezwa kuwa ni kutokuwa na maadili.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad