11/13/2018

Haji Manara Amuangukia Rostam Aziz Kuisaidia Yanga "Yanga Hali Zao ni Taabani Sana Njoo Kwenye Mpira Au Wewe Yanga Jina"

Haji Manara Amuangukia Rostam Aziz Kuisaidia Yanga "Yanga Hali Zao ni Taabani Sana Njoo Kwenye Mpira Au Wewe  Yanga Jina"
Muda Mchache baada ya Rostam Azizi kusema kuwa yeye ni shabiki wa timu ya yanga wakati alipoulizwa na Rais John Pombe Magufuli msemaji wa timu ya simba Haji Manara amemuomba Rostam kuwasaidia Yanga kwani wapo kwenye wakati mgumu wa kifedha.

Kupitia ukrasa wake wa instagram Manara  amesema hali ya Yanga ni taabani  na kumshawishi kuingia kwenye mpira ili awaokoe watani wao wa jadi.

''Sasa Shekh Rostam kwa kuwa umedeclere leo mbele ya bwana mkubwa kuwa ww ni Yanga na hali zao ni taabani sana kiasi cha kumlilia mtu aendelee kuwaongoza!! Hebu njoo huku kwenye mpira basi, au ww Yanga jina tu !
Na walivyo na njaa ukiingia tu unaanza kulipa madeni kama yote na mishahara!!
Nategemea povu la kufa mtu toka Mbuteni''


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger