Hamisa Mobetto Ajibu Dongo la Daimond "Hukua Na Uwezo Wa Kuni Treat Kama Millionare na Wala Ahadi Zako Hazikufikia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hamisa Mobetto Ajibu Dongo la Daimond "Hukua Na Uwezo Wa Kuni Treat Kama Millionare na Wala Ahadi Zako Hazikufikia"
Mwanadada na mwanamitindo kutoka Tanzania Hamissa Mobetto ameamua kufunguka na kutoa ya moyoni ambayo yanasemekana ni dongo kwa mzazi mwenzake Diamond Planumz.



Ikumbukwe kwamba Diamond alipost maneno ambayo yalileta mkanganyiko na kusemekana kuwa ni dogo kwa Mobeto na maneno yake yalikuwa hivi “Najua mwili wangu ni mtamu, na najua bado unanitamani, ila usije ukadanganyika, hauwezi kuhimili stress“.

Leo hii Hamisa nae kajibu kama ifuatavyo ” Hukua Na Uwezo Wa Kuni Treat Kama Millionare …. Mapenzi Ya Kazidiwa na Maisha We had To Break Somewhere .
………. “Sikuamini Maneno Yako Sikupenda The Way They Sounded na Wala Ahadi Zako Hazikufikia What I Wanted”



Yote haya yanatokea baada ya Hamisa kuonekana yuko kwenye mahusiano na mwanaume mmoja wa Kimarekani hivi majuzi na hadi sasa Hamissa akiwa Marekani kwa ajili ya ziara yake ya kimuziki.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad