11/08/2018

Idara ya Uhamiaji yakiri Kuwakamata Wanaharakati wa Kulinda Wanahabari


Idara ya Uhamiaji yakiri kuwakamata Wanaharakati wa Kamati Maalum ya Kuwalinda Wanahabari Duniani(CPJ),b Angela Quintal na Muthoki Mumo

Wamesema kuwa wawili hao walikiuka masharti ya viza pamoja na kufanya mikutano na Waandishi wa Habari bbadala ya kufanya matembezi

Aidha, mapema leo Idara ya Uhamiaji kupitia kwa Msemaji wake, Ally Mtanda ilikana kuhusika na taarifa zilizotoka zikidai imewakamata Wanaharakati hao

Awali walidai kuwa taarifa za kukamatwa kwao na wao walizisikia na kuona kupitia Mitandao ya Kijamii

JF


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger