11/08/2018

Idara ya Uhamiaji Yarudisha Hati za Kusafiria za Wanaharaka wa Kutetea Waandishi


Idara ya Uhamiaji imesema imerudisha hati za kusafiria za wafanyakazi wa CPJ, Angela Quintal na Muthoki Mumo ‬

Walizishikilia kwa muda baada ya kuwaachia wanahabari hao‬

Idara ya Uhamiaji imesema waandishi wa habari waliokamatwa na Idara ya Uhamiaji walikiuka Sheria za Uhamiaji, imesema kibali chao cha kuingia nchini kilikuwa cha matembezi lakini wao walitaka kutumia kwa matumizi mengine kwa kufanya mkutano na wanahabari.


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger