11/13/2018

Irene Uwoya “Mungu Nisamehe Naenda Kuiba Mwanaume wa Mtu”

Irene Uwoya “Mungu nisamehe naenda kuiba mwanaume wa mtu”
Muigizaji Irene Uwoya amerudi tena kwenye headlines leo November 13,2018 hii ni baada ya caption yake ya instagram na kusema kuwa anamuomba Mungu msamaha kuwa anaenda kuiba mwanaume wa mtu kwasababu alivyoibiwa wake Mungu hakusema chochote.

Kumekuwa na tetesi kuwa Dogo Janja na Irene Uwoya hawako tena katika mahusiano ya kimapenzi na kuripotiwa kuwa kila mtu anaishi kivyake na wameamua kuendelea na maisha yao ya kawaida.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Irene Uwoya ameandika “Baba Mungu nisamehe kwasababu ninaenda kuiba mwanaume wa mtu, kwasababu nilipoibiwa wangu hukusema chochote”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger