Kangi Lugola "Watu Wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja Wapo Salama"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola imesema kuwa watu wanaojihusisha na mapenzi wa jinsia moja wanaishi kwa amani.
-
Ameongeza kuwa ingawa ushoga ni kosa la jianai kwa mujibu wa Sheria za Tanzania lakini watu wanaojihusisha na vitendo hivyo hawaikimbii nchini kama inavyoripoti
-
Waziri Lugola ametoa ufafanuzi huu kutokana na kuwepo wa sintofahamu kuhusu watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja(Mashoga) baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kutangaza oparesheni dhidi yao
-
RC wa Dar alisema amepokea jumbe zaidi ya majina 5,763 za watu wanaotuhumiwa kwa ushoga
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad