Maimartha Anyanyua Mikono Kwa Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maimartha Anyanyua Mikono Kwa Zari
Mtangazaji mkongwe na msanii wa Bongo movie Maimartha wa Jesse ameibuka na kumvulia kofia    mwanamama mfanyabiashara Zarinah The Bosslady Baada ya Kuvaa kiatu cha bei kupitiliza.

Kiatu hicho ambacho ni brandi ya Kanye West linalotajwa kugharimu dola 645 za Kimarekani (takribani shilingi milioni 1.5) wamekuwa wakionekana wamelivaa mastaa wakubwa duniani kama Rihanna na Kim Kardashian hivyo kuvaliwa na Zari kumewashtua wengi.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Maimartha amesema kuwa bei ya buti hilo limemshtua lakini anaamini Zari ni mwanamke wa shoka hivyo Ana  uwezo wa kumiliki kiatu hiko:

Zari si mwanamke wa mchezo mchezo, kwa hili buti lake amewakalisha wengi, mara nyingi akiweka mavazi na bei zake watu husema ni feki lakini kwa kiatu hiki naamini bei yake ni ya ukweli.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad