Mange Kimambi Ampa za Uso na Somo Mwanamuziki Ruby 'Naambiwa Wewe ni Mkorofi Hatari'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dada Mange Kimambi leo ameamua kumtolea uvivu Mwanamuziki Ruby kwa kumpa maneno ili aweze kurekebishika..Mtaani kuna habari kuwa Ruby ni mkorofi na ndio kinamfanya asifike mbali katika muziki wake tofauti na wenzake kama kina Maua na Nandy..

Mange Kamchana hivi kupitia ukurasa wake wa Instagram:

"From mangekimambi_@iamrubyafrica mdogo wangu you are super talented ila ushauri punguza jeuri kidogo basi maana naambiwa we ni mkorofiiii hata dadako sikufikiiii kwa ukorofi na ujeuri.....Acha basi basi mdogo wangu maana talent yako ni kubwa mnooo ulipo sasa ni chini sana compared na talent yako. Embu Ona hii nyimbo ni nzuri balaaaaa, angetoka nayo Vanessa Mdee au Nandi etc pangechimbikaaaa, ila wewe watu wako kimya hawaipromote... We mwenyewe unajua industry ya bongo bila kukiss-ass utaumia. Hata wenzio kina Jide walisubiri washajenga majumba ndo wakaanza jeuri. Au kina Diamond wamefika mbali kwanza ndo wamekuwa jeuri. We umeanza mapema mno....Yani mnaambiwa ukorofi wa Ruby haujapata tokea tangu dunia iumbwe

Ila vimtu vyembamba vikorofi jamani, yani Ruby unaambiwa hata studio akienda kurekodi hamalizi session bila kutibuana na producer

Alafu kama hujapenda ushauri wangu mlaumu huyu mdogo wangu @lady_danger07 ndo kaniomba sana nikuposti na nikwambie. She loves you. Yani sikujua hata kama umetoa nyimbo ye ndo kaniambia. Yani nimedata nayo, nimeiweka on repeat, good job @iamrubyafrica .

I’m your number 1 fan!

PS: Alafu iweke nyimbo itunes tukusapoti." Mange
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad