Mashabiki wa Simba washangazwa na Uongozi wa Azam kwa hili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mashabiki wa Simba washangazwa na Uongozi wa Azam kwa hili
Mashabiki wa timu ya Simba wameshangazwa na kitendo cha Uongozi wa Azam FC kuruhusu wapinzani wao kutumia basi lao, Mbabane Swallows FC watacheza leo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mbabane Swallows jana walifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuweza kuikabili Simba walitumia basi la Azam FC ambalo liliwapeleka na kuwarudisha.



Uongozi wa Azam FC haujazungumzia jambo hilo ambalo huwa ni nadra sana kuweza kufanyika kwa nchi nyingine hasa timu zetu zinapokwenda kucheza huko.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad