Mhamiaji Haramu Aliyejishughulisha na Uganga na Uhubiri Injili Akamatwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uhamiaji mkoani Mara imekamata Wahamiaji haramu 8 akiwemo Mwanamke kutoka Kenya aliyekuwa akifanya shughuli za uganga wa kienyeji na kuhubiri injili
-
Mwanamke huyo, Wego Carolina Anyango(54) aliyekuwa akiishi Wilayani Bunda wataje wake wakubwa walikuwa ni wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu
-
Afisa Uhamiaji mkoani humo, Frederick Kiondo amesema Wahamiaji wengine 7 waliokamatwa ni raia kutoka nchini Ethiopia
-
Raia hao wa Ethiopia ni Shifaru Belu(25), Damec Abain(23), Danlyi Kifile(23), Dageka Abara(27), Yisk Shobeso(20), Teshade Abirham(22) na Bekele Sayoko(43)
-
Walikamatwa wiki hii wakiwa wamefichwa vichakani katika kijiji cha Kirumi wilayani Butiama ili baadaye wakachukuliwe na kusafirishwa kwenda jijini Mwanza
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad