11/13/2018

Mtoto wa Will Smith Jaden Smith Adhibitisha Kuwa yeye ni Shoga


Mtoto wa Kiume wa Muigizaji Maarufu Duniani @willsmith , anayefahamika Kama Jaden Smith mwenye Umri wa Miaka 20 Ametangaza Hadharani Kuwa Rapper na Comedian Kutoka nchini Marekani @tylerthecreator Alikuwa BoyFriend wake na Bado ni BoyFriend wake

Kupitia Clip iliyoanza Kusambaa Sana Kwenye Mitandao ya Kijamii inamuonesha #JadenSmith akiwa kwenye Stage akisii kuwa #TylerTheCreator ni Rafiki yake Mkubwa wa Kiume na Bado Mpaka sasa wapo nae

Wengi wameitafsiri Hii Kama Jaden amekuwa Akishiriki Mapenzi ya Jinsia Moja, Kwa Jinsi Alivyokuwa akiongea kwa Hisia kwenye Video hiyo na Ikimuonesha Tyler akiwa na Kicheko kinachomaanisha kuwa Kweli Wawili hawa kuna Jambo litakuwa Linaendelea
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger