Naibu Spika Dr Tulia Ackson Amtoa Peter Msigwa nje ya Ukumbi wa Bunge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ulikuwa ni wakati wa kujadili hoja ya kumpongeza Rais Magufuli kwa maamuzi yake kuhusu Serikali kununua Korosho za wakulima katika mikoa ya Lindi na Mtwara

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameamuru Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa kutoka nje ya Bunge kwa kutokiheshimu kiti(mamlaka ya kiti cha Spika)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad