11/08/2018

Penzi la Hamissa Mobetto na Mpenzi Wake Mpya Limezidi Kuwa Konki Ajiachia Akila Raha

Penzi la Hamissa Mobetto na Mpenzi Wake Mpya Limezidi Kuwa Konki Ajiachia Akila Raha
Mwanadada Hamisa mobeto ambae hivi karibuni alitangza kwa picha kuwa kwa sasa amepata mwanaume mwingine, ameanza kulinga na kulingishia katika mitandao ya kijamii kuhusu mahusiano yake hayo mapya bila kujali watu watasema nini.

Wiki iliyopita katika ukurasa wake wa snapchat aliweka picha ya mwanaume mwenye asili ya kiarabu na kuweka emoji za mapezi na picha hiyo kusambaa sana katika mitandao ya kijamii.

Leo tena mwanadada huyo ameweka picha nyingine akiwa amebebwa na mwanaume kifuani kwake huku akindika kuwa kwa sasa hivi anadekezwa na wala sio kugombezwa.Hamisa aliwahi kuwa katika mapenzi ya siri  ya msnii diamond platinumz, mapenzi amayo hata baada ya kujulikana yalimletea matatizo na kumfanya kupata misuko suko huku tayari akiwa na mtoto wa msanii huyo.

Hamisa aliwah kukiri hivi karibuni kuwa kuachana na Diamond kummfanya kuwa huru na kupata mafanikio Pia.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger