11/13/2018

Rayvanny Afunguka Kwa Uchungu Baada ya Nyimbo yake Kufungiwa..Aipa Shule Basata


HABARI ZA ASUBUHI NDUGU ZANGU.......
TAARIFA ZA KUFUNGIWA KWA WIMBO WANGU NIMEZIPATA.....
LAKINI KATIKA HILI NINA HAYA MACHACHE YAKUSEMA...... ..1.SANAA NI NINI??? ....SANAA NI NENO LILILOTOKANA NA LUGHA YA KIARABU.... LENYE MAANA NI UFUNDI ANAOUTUMIA MWANADAMU, KUWASILISHA FIKRA AU MAWAZO YALIYO NDANI YA FIKRA ZAKE.....VILE VILE SANAA NI UZURI UNAOJIIBUA KATIKA UMBO #LILILOSANIFIWA.... #KUSANIFU NI KUUMBA/KUFANYA KITU KWA KUTUMIA USTADI ILI KIWEZE KUVUTIA WATU KWA UZURI WAKE.... HIVYO KAZI YOYOTE YA SANAA INATEGEMEA IONYESHE UFUNDI WA HALI YA JUU, ILI IWE NA MVUTO KWA HADHIRA YAKE #ILIOKUSUDIWA............ HAYO MANENO SI YANGU MIMI NI TAFSIRI YA NENO SANAA.......... .
....2.DHAMIRA YA WIMBO........
.DHAMIRA YETU HAIKUA KUTUKANA, KAMA INAVYOONEKANA SASA... DHAMIRA YETU ILIKUA KUTOA BURUDANI KWA HADHIRA ILIOKUSUDIWA AMBAO NI VIJANA WENZETU LAKINI PIA NA MAFUNDIOSHO AMBAYO KILA SIKU SERIKALI IMEKUA IKIYAPIGA VITA......
SWALA KAMA LA AMBEL RUTI.... KATIKA WIMBO WETU TUMESEMA.... (NAMI NAOGOPA SENTRO MICHEZO YA AMBEL RUTI, KWAMBA KIJANA YOYOTE ANAESIKILIZA AOGOPE KITENDO HICHO ATAISHIA PABAYA........
PIA KUNA MISTARI INASEMA.... (HAPENDAGI MPASUO....ATAKI SHIDA BASATA) UKIWA NA MAANA YA KUKATAZA MAVAZI MABAYA/ MAVAZI YA WAZI NAKUSISITIZIA KWAMBA HATA BASATA HAYARUHUSIWI..... UKIANGALIA HAYA YOTE NI MAFUNDISHO AMBAYO MWANASANAA LAZIMA UYAFIKISHE KATIKA LIGHA ILIOSANIFIWA...........3.KWANINI MWANZA.......TUNGEWEZA KUUITA HUU WIMBO JINA LINGINE LOLOTE , MBEYA ,KIGOMA AU MKOA WOWOTE TOFAUTI LAKINI KWANINI #MWANZA...... IKUMBUKWE SIKU CHACHE ZILIZOPITA KUMETOKEA MAAFA MAKUBWA YALIYOWAKUTA NDUGU ZETU WA MWANZA.... WATU WAMEPOTEZA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI.....KAMA WASANII TULIWAZA SANA HUSUSANI KWA VIJANA WENZETU WA MWANZA TUWAFANYIE KITU GANI IKIWA NI SEHEMU YA FARAJA KWAO..... NDIPO LILIPOKUJA WAZO LA KUTENGENEZA WIMBO KWA AJILI YA #MWANZA....... UNAOSEMA KWETU MWANZA #NYEGEZI LAKINI TUKASEMA USIENDE HIVYO TU UWE NA MAFUNDISHO NDANI YAKE LAKINI PIA BURUDANI KWA VIJANA WA MWANZA NA MAENEO MENGINE....NA KIUKWELI WIMBO HUU UMEPOKELEWA VIZURI SANA MWANZA NA MAENEO MBALIMBALI IKIWA NI ISHARA YA ILE DHAMIRA TULIO IKUSUDIA IMEFANYA KAZI | By @rayvanny
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger