Rayvanny Ang’ang’aniwa Basata Babu Tale, Mkubwa Fela Watia Nguvu Kumchomoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rayvanny Ang’ang’aniwa Basata Babu Tale, Mkubwa Fela Watia Nguvu Kumchomoa
Msanii wa muziki Rayvanny amefika kwenye ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya kufungiwa kwa wimbo ‘Mwanza’ kwa madai wimbo huo hauendani na maadili ya Kitanzania na kuojiwa kwa masaa mawili ambapo mameneja wawili wa WCB wameonekana kuongeza nguvu kwa msanii huyo kwenye kikao hicho ambacho kimeonekana kuwa kizito.

Mameneja ambao walionekana kufika katika ofisi hizo za basata ni Babu Tale pamoja na Mkubwa Fela ambao walifika kwa kuchelewa ikiwa tayari kikao kilishaanza ambapo walifika nao kushiriki kikao hicho lakini baada ya muda mameneja hao walitoka na kujadiriana kwa muda mrefu.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad