Rayvanny Awafuata Basata Ofisini Kwao Baada ya Kumfungia Wimbo Wake wa Nyegezi- Mwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rayvanny Awafuata Basata Ofisini Kwao Baada ya Kumfungia Wimbo Wake wa Nyegezi- Mwanza
Msanii wa muziki Rayvanny amefika kwenye ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya kufungiwa kwa wimbo ‘Mwanza’ kwa madai wimbo huo hauendani na maadili ya Kitanzania.

Rayvany aliwasili katika baraza hilo  saa 11:30 akiwa na gari jeupe aina ya  Harrier  akiwa ameambatana na watu wawili.

Akiwa amevalia suruali nyeusi na sweta la rangi ya machungwa yenye kofia, alijifunika usoni ili kukwepa kamera za wanahabari waliojazana katika ofisi za Baraza hilo zilizopo Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam.

Baada ya kufika hapo aliegesha gari kwa muda kabla ya kuelekea ofisi za Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Godfrey Mngereza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad