11/30/2018

Team Hamisa Wamvaa Josh Adeyeye Baada ya kupost Picha Akiwa na Mwanamke Mwingine

Huyu kaka atajuta!!! Usiombe viumbe wa Instagram kutoka Bongo wakakufungia mtaa ashukuru tu kinge kinawapiga chenga wanamchamba kiswahili, siku nyingine sijui kama atakubali kufanya kazi na wabongo...

Kiki zingine nazo zinaponza ndo nini kutangaza upo kwenye uhusiano na mtu wakati ni kazi tu kaka wa watu alikua "Video King/Model"

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger