VIDEO:Rais Magufuli akutana na Rostam Aziz, Ikulu Hiki Ndicho Walichozungumza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

VIDEO:Rais Magufuli akutana na Rostam Aziz, Ikulu Hiki Ndicho Walichozungumza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumanne Novemba 13, 2018.


Akizungumza wakati akiagana na Rais Magusuli, Rostam amesema; “Nimekuja kumuona Rais wangu. Nimekuja kumpongeza kwa kazi nzuri anazozifanya. Kama mfanyabiashara, naona kinachofanyika sasa hivi ni kutengeneza msingi ya uchumi, ambao utakuwa kwa uhakika zaidi.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad