Vigogo Yanga Wakumbwa na Adhabu Kisa Uchaguzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vigogo Yanga Wakumbwa na Adhabu Kisa Uchaguzi
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira Tanzania  (TFF) iliyo chini ya Mwenyekiti Hamidu Mbwezeleni imemfungia Mwenyekiti wa matawi ya Yanga Bakili Makele na Katibu wake Boaz Mkuplika kutojihusha na masuala ya soka kwa kipindi cha miaka 3.

 Mbali na adhabu hiyo pia wanatakiwa kulipa faini ya shilingi Milioni 2 kila mmoja kwa kukaidi maamuzi ya Serikali na TFF yanayohusiana na maagizo ya kufanyika Uchaguzi wa kujaza nafasi ambazo ziko wazi ndani ya klabu ya Yanga.

Hivi karibuni Serikali na TFF ilitoa maagizo kwa Yanga kufanya uchaguzi wa kuziba nafasi zilizo wazi ikiwa ni pamoja na ya Mwenyekiti Yusuphu Manji aliyejiuzulu zoezi ambalo limekuwa likisuasua kutokana na baadhi ya viongozi kutambua uwepo wa Mwenyekiti wao aliyejiuzulu hali inayoleta mgawanyiko.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad