Walimu kutoa adhabu ya viboko kwa wanafunzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha imepiga marufuku Walimu kutoa adhabu ya viboko kwa mwanafunzi bila kibali maalum na pia amepiga marufuku Walimu kutembea na viboko, Ole Nasha ametoa agizo hilo wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Rose Tweve aliyetaka kujua kauli ya Serikali kwa Walimu wanaokiuka sheria za adhabu kwa Wanafunzi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad