Alikiba Afunguka Kilichobaki Isha Kuingia na Gari Yake Uwanjani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alikiba Afunguka Kilichobaki Isha Kuingia na Gari Yake Uwanjani
Msanii wa Bongofleva ambaye pia ni mwanasoka wa club ya Coastal Union ya Tanga Alikiba, Jumapili ya December 9 2018 alipata nafasi kwa mara ya kwanza kuichezea timu hiyo katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbeya City katika uwanja wa Mkwakwani.

Alikiba alikuwa kivutia kikubwa katika mchezo huo uliomalizika kwa sare ya 1-1, lakini alisaidia pia upatikanaji wa goli la Coastal Union lilifungwa na Ayoub Lyanga dakika ya 5 ya mchezo, baada ya Alikiba kusababisha kona iliyozaa goli hilo, game hiyo Alikiba alicheza kwa dakika 64 tu na kufanyiwa na mabiliko na kocha Juma Mgunda.

Kingine kilichoshangaza wengi ni kuwa Alikiba aliingia uwanjani hapo akiwa na gari lake binafsi na sio usafiri wa timu kama walivyoingia wachezaji wenzake, akihojiwa Azam TV baada ya mechi Alikiba kataja sababu “Ni mara ya kwanza kwangu kwa hivyo ni chalenji nilikuwa nimeipata kwa ajili ya hofu, natamani hata hii leo ningefunga lakini mpira hautabiriki, mimi sikai kambini nakaa kwenye nyumba yangu huku kwa hiyo huwa tunakutana hapa”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad