12/16/2018

Card B Aanza Kulainika....Aonyesha Dalili za Kumsamehe Mume Wake aliyemtenda


Rapper Cardio B @iamcardib ameonesha dalili za kumsamehe baba watoto wake @offsetyrn baada ya usiku wa jana kupost maneno kwenye Insta story yake yanayoashiria kukubali ombi la Rapa huyo kutoka kundi la #Migos.

Cardi B ameandika maneno kwa lugha ya Kihispania yanayosomeka " Pensando en ti Pensando en mi" kwa lugha ya kingereza yanatafsiriwa hivi "Nakufikiria wewe, Nifikirie Mimi". Maneno haya ameyapost muda mfupi baada ya #Offset kuvamia jukwaa alilokuwa ana perform mrembo huyo na kumpelekea maua na kumuomba msamaha mbele ya mashabiki. .
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger