12/02/2018

Diamond Platnumz: Nataka Kuoa, imetosha....Nimefanya vitu vingi


Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amefunguka kuhusu mipango yake ya kuoa.

Muimbaji huyo akizungumza na Wasafi TV amesema ana kila sababu ya kuoa kwa sasa kwani ameshafanya mengi.

"Nataka kuoa sana mwaka huu, nina kila sababu ya kuoa, imetosha nimefanya vitu vingi sana, yaani nimefanya vitu vingi," amesema Diamond.

Msikilize Hapo chini

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger