Esma Platnumz Amuweka Wazi Mpenzi Wake Mpya (picha)

Dada wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Esma Platnumz amemuanika mpenzi wake  Mpya kwa Mara kwanza kwenye mitandao ya kijamii tangu Atangaze mahusiano mapya.

Miezi michache iliyopita Esma aliachana rasmi na aliyekuwa mume Wake ndoa Petit Man Wakuache Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka kadhaa.

Esma aliweka wazi kuwa sababu ya kuvunja ndoa yao ni pale alipogundua kuwa baba watoto wake huyo amechepuka na mwanamke mwingine na ameishia kumpa mimba.

Esma ametumia social media kumuanika Mpenzi Wake Mpya ambapo ameweka picha zake na kusindika na maneno matamu ya kimahaba akiwa ameandika:

Roho yangu furaha yangu kipenzi changu umeniambukiza ugonjwa wa mapenzi naona Kama dunia nzima tuko wawili tu”.


HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Esma Platnumz Amuweka Wazi Mpenzi Wake Mpya (picha) Esma Platnumz Amuweka Wazi Mpenzi Wake Mpya (picha) Reviewed by Udaku Special on December 01, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.