12/06/2018

Gigy Money Afunguka Maumivu Aliyopata Kupitia Mikononi Mwa Mo J

Video vixen na Msanii wa muziki wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu Kama Gigy Money amefunguka na kuanika maumivu ya mapenzi ambayo amekuwa akipitia.

Sio mara ya kwanza kwa Gigy Money kutangaza hadharani kuwa aliyekuwa Mpenzi Wake mtangazaji wa Choice Fm Mo J amekuwa akimnyanyasa na hata kumpiga na kumuachia majeraha.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Gigy Money amefunguka mazito kuhusu mapenzi yake na kijana huyo ambaye amezaa naye Mtoto mmoja:


Pt1 Kwa wanao dai mm Malaya Sawa ila Naombaa kushare hiki Kitu si kwa Maana yakwamba nahitaji msaada ila ni ushauri kwa Mtu ambae ananipenda bila kujua madhaifu Yangu Kwani Sitaki kuona Mwananguu anapitia niliyo wahi kuyapitia Na Sio @mayra_money Tu Msichanaa Yoyotee ambae anahisi yupo Tayari kwa ajili ya mahusiano. Miaka 3ilyo isha Nilikuwa naonekana Msichanaa nilie kua Kwenye mahusiano Na Wengi wenu mkajikuta mnatamani kua Na wenzi wenu. Ni Kweli Mapenzii Raha lakini pale unapo pata anaekupenda  Ila mm Nilikuwa naishi namtu ambae anipendi wala alikua afikilii kunipenda ila nilikua najipa Moyo nikimzalia ata tulia Kwani kila kitu ambacho unakijua ww nilitoa Lakini Nilikuwa najitesa tu. What am trying to mean is I was leaving instagram life. Nafanyaa kila kitu Instaa Wasione mm malaya ata kama nachitiwa ata kama napigwa kwani (kuna baadhi ya Wanaumee wanakusaliti Then Anakwambiaa ww Ndio chanzo) so weak women in love like me tunaombaga misamaha no matter what kimetokea still anaweza kuondoka naukimpigia apokei Au aka kublock while he is one who did wrong . I was so stupid Ayo 9 kubwa anaweza akakuhukumu kama wakina (michambo,Umbea, udaku Na kadharika) Yani anaweza akakuambia Kila Mtu anajua tabia zako kwamba ww malaya lakini Still nakua najiuliza sawa mm malaya why you still with me : Au akasema kila Mtu ananicheka kutembea Na ww honestly Uwe MAARUFU Au si MAARUFU iyo kauli inauma sana ok my point is Habari zinazo zagaa Mitandaoni kwamba nmepigwa Na mwanaume Wangu mpya sio kweli alie nipiga nakuniharibu mwili wangu ni yule yule bully, abuser who like to take things for advantage Najua Wengi mnatamani kujua why MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGUU Moyo Wangu ulikua Mgumuu Sana kuamini nimeachwa Na Mtotoo peke angu kwani nmefanya mengi kwakuamini nikizaa troubles and hurts will be End, Chief I was lying my self . So ata Ku Move On ilikua Kazi  Ila Nilikuwa nabadilisha kila aina ya Mwanaume nikiamini nitakua sawa still haikusaidia I was really Need Mayra awe Na baba cos kiakili nna Matatizoo ya kifamilia so sikupenda Mwanangu apitie (why nmepigwa Niliona nikienda nna akili timamu sitoweza ila nikajileweaaaa ili nikaseme ya moyoni lakini kilicho nikuta NILIYATAKA 

Part 2
 Sa Nilivyoo lewa nikaomba Kuongea nae ila akanitukana kwakua Nilikuwa majiiii  nikaenda kwake I don’t know  nn kilitokea ila nilipigwa kwani Nilimwambiaa mm najulikana let’s Talk inside weeeee basi nilikula ngumi ya tumbo nikaona hapana unanipiga kisa Kuongea Na ww ndani wakati jana Yake alikuja kwangu kulala Na siku kabla ya kuja Kulala aliwahi kuja nakudai kumuona Mtotoo nakutaka kuondoka nae kisa npo Nairobi So Mayra anakaa Na nAn? Nilimuuliza Kwambaa ukizaa hauruhusiwi Kusafirii ila kimoyoni niliona ina Make Sense basiiii dadaaaeni huyooo Airport kukata Ticket dollar 300 still nikachelewa KQ so nikanunua ya Kesho Yakee ya kwanza na ilikua Zaidi ya US dollar 300 nikarudi uku nikiwa nimemuacha Mwanaume ambae yupo Africa kwa ajili yangu Nairobi . Nikiwaza baba sasa amechange ila nikawa kila nikiongea nae naumia kwani amekua akinilaumu Tu Kwambaa anamuonea Huruma Mtotoo Kwambaa namuharibu atakua malaya kama mama ake So atakuja kumchukua mda wowote Na Hayo yote after six months nikawa najiuliza ni wanaume wote Au yeye Tu Yani ata shukrani yakusema Mwananguu ana afya ilikua masemango lakini wale wale wanaonitukanaga wanakuja nakusema Gigy pamoja Na uchizi Wako wote Mtotoo marshallah lakini hao ni insta in reality ni mateso sa kama umalaya mnao uongelea Kwangu sijui ni upi Kwani nilikua napigwa ata nikiwa mjamzito sa Nilikuwa na cheat au…. Kwa Mfano Watu tumekua tunaishi Ki insta insta Tu ila Maisha Yetu ya Ukwelii Sio yalivyo Kwani Wengi wetu tunalinda Brand Zetu Tu sipo kwa ajili ya kuongea madhaifu Au Matatizoo Niliyo wahi Kupitiaa Kwani akuna atakae amini Yani akuna Mtu ana amini nikiongeaga vitu Serious Kwani mpaka leo kuna watu hawaamini wanacho kiona kwamba naimba kwakuaa Kwenye vichwa vyao wanajua mm mzunguaji Tu ni kweli nazinguaga kwani nmeamua kua Mimi nakuacha kupelekeshwa Na hisia Zangu Watu Na Mitandaaoo kwamba inanichukuliaje Ndio mana Nafanya Nachoo jisikia naweza nikasema ata leo mume Wangu lava lava Au nikasema namtaka chibu Au flani mmepita Kwani Huyo Ndio Gigy mnae mtaka Done  Nafuta after 2hours

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger