12/02/2018

Gigy Money Afunguka "Mimi Kwetu ndio Tajiri"Msanii wa muziki, Gigy Money amesema kuwa ana matarajio mengi katika maisha yake kama kufungua sehemu ya chakula na salon.

Gigy akizungumza na Dizzim Online amesema kuwa kwao akiingia yeye ndio tajiri , lakini hawajui kama yeye ana majukumu gani ikiwa ni pamoja na kumlea mtoto wake Myra.

"Mungu akitarajia nina matarajio mengi kiukweli kufungua sehemu ya chakula, kufungua saloon ni pesa ndio ninayo itafuta, pesa sio ngumu ila nina majukumu mengi mimi kwetu nikiingia ndio tajiri sijui unaelewa lakini wao hawajui mimi nina majukumu gani na na take responsibility zipi kwa mwanangu," alisema Gigy.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger