12/08/2018

Huyu Hapa Mfungwa Mzee Kuliko Wote Kenya


FAHAMU : Bibi huyu inasemekana ndio mfungwa mkongwe kuliko wote nchini Kenya, yupo jela toka mwaka 1968. Picha yake imekua gumzo mitandaoni nchini humo huku wananchi wengi wakiomba aachiwe huru amalizie maisha uraiani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger