Huyu Hapa Mfungwa Mzee Kuliko Wote Kenya


FAHAMU : Bibi huyu inasemekana ndio mfungwa mkongwe kuliko wote nchini Kenya, yupo jela toka mwaka 1968. Picha yake imekua gumzo mitandaoni nchini humo huku wananchi wengi wakiomba aachiwe huru amalizie maisha uraiani.


HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Huyu Hapa Mfungwa Mzee Kuliko Wote Kenya Huyu Hapa Mfungwa Mzee Kuliko Wote Kenya Reviewed by Udaku Special on December 08, 2018 Rating: 5

1 comment:

Powered by Blogger.