12/08/2018

Huyu Hapa Rais Aliyeshinda Kura Nyingi Kuliko Wapiga Kura Waliojiandikisha


HISTORIA KATIKA SIASA: Charles King alishinda nafasi ya Urais wa Liberia kwa kupata kura nyingi zaidi ya Watu waliojiandikisha kupiga kura

Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura ilikuwa ni 15,000

Katika hali ya kushangaza bwana Charles King alipata kura 234,000
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

2 comments:

 1. Muulize mzzeeee wa Twita na Fezibuku
  zito zmbli kambwe kama hii ni histlia ya kweli na ilikuwaje.
  MJomba ataijua manakeanao wakai huo na ndiyo anga zake.
  MIE NAENDA KUCHAPA KAZI....

  ReplyDelete
 2. Hivyo huyu Si mmalekani WA Carolina?
  Kwa I nimbo lake na Texas Si Sawa tu au amezidiwa?

  ReplyDelete

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger