12/09/2018

Ikulu ya Tanzania Yampongeza Mwanamuziki Diamond Platnumz Kwa Jambo Hili


Ikulu ya Tanzania kupitia ukurasa wake rasmi wa kurugenzi ya Mawasiliano (Instagram),imempongeza Msanii @diamondplatnumz, kwa kuahidi kumalizia ujenzi wa shule moja ya msingi, iliyopo Kata ya Kizwite - Sumbawanga.....

Imewekwa Jiwe la Msingi na Kupewa Jina la Diamond #NaseebAbdul...
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger