MAAJABU Tanga: “Mto Unavukwa na Wachawi tu, waliolazimisha waliteketea” (+video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Kisa Kasongwa ameiagiza Halmashauri ya Korogwe Kijijini kupawekea utaratibu mzuri eneo la Maurui tarafa ya Mombo ili iwe ni chanzo cha mapato.

Eneo hilo ambalo alipita Chief Mbega baada ya kufukuzwa na Wakwavi katika Vita ya Wanguu na Wakwavi hivyo Wakwavi wakashinda na kuanza kuwafukuza Wanguu hususani Chief Mbega walitaka kumuua kutokana na kuwatesa kwa muda mrefu.

DC Kisa anasema katika eneo hilo watu wengi wanashindwa kupavuka “Hili eneo ni dogo sana lakini hapa havuki Mtu, wenyewe Wanakorogwe wanakuambia kuna Wamasai wanne walijaribu kuvuka lakini waliteketea wote”

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad