Mkurugenzi afa ghafla hotelini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, Mariano Mwanyigu, amefariki dunia ghafla akiwa hotelini. 

Taarifa ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo, ilisema Mwanyigu alifariki dunia usiku wa kuamkia jana. 

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkurugenzi huyo alifariki dunia akiwa kwenye hoteli ya Peter Palm iliyoko Dodoma na kwamba alikuwa mkoani humo kuhudhuria kikao kazi. 

“Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo anasikitika kutangaza kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, Mariano Mwanyigu, kilichotokea ghafla usiku wa tarehe 30.11.2018 katika hoteli ya Peter Palm hapa Dodoma. 

“Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe,” ilisema taarifa hiyo bila kufafanua zaidi. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad