Model wa Kitanzania Herieth Paul Ang’ara Kwenye Victoria’s Secret


Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania Herieth Paul amezidi kung’aa katika maonyesho ya mavazi ya ndani maarufu kama Victoria’s Secret yaliorushwa siku ya jana.

Herieth ambaye amepata mafanikio makubwa kwenye ulimwengu wa fashion armpits steji moja na models maarufu duniani Kama Kendall Jenner, Adriana Lima, Gigi Hadid, Bella Hadid na wengineo.Kwa sasa mrembo huyo anapata nafasi hiyo kwa mara ya tatu toka mwaka 2016 ambapo alichaguliwa kwa mara ya kwanza.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Herieth Paul ameandika furaha yake kwa kuchaguliwa kushiriki katika maonyesho hayo:

I watched my first vs show when I was 13 years old. I am so beyond excited to be walking my third @victoriassecret fashion showI am so grateful for this opportunity,” Mrembo huyo aliandika Instagram na kuwashukuru “Thank you @johndavidpfeiffer @monica.mitro @10magazine @ed_razek1 and my amazing team @womenmanagementny @angiesmodels Ya’ll dreams do come true  #3”.


HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Model wa Kitanzania Herieth Paul Ang’ara Kwenye Victoria’s Secret Model wa Kitanzania Herieth Paul Ang’ara Kwenye Victoria’s Secret Reviewed by Udaku Special on December 03, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.