12/16/2018

Mrembo Sasha Kassim Atoa Povu, Aaanika Wowo la Mama yake Mzazi


VIDEO Queen Sasha Kassim ameibuka na kudai kuwa mama yake anayeitwa Fatma ndio alimsababishia ‘matatizo’ na kuipata shepu ambayo humkosesha amani kila kukicha kitendo ambacho kimezua gumzo. Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Sasha alidai kuwa watu wengi wamekuwa wakimsema kuwa anatengeneza shepu bila kujua kuwa shepu hiyo inayompa matatizo kila kukicha ameirithi kwa mama yake ambaye amefanana naye vitu vingi.

“Unajua kila siku nawaambia watu kuwa si-fake shepu lakini hawaelewi, sasa nimeamua kumuanika mama yangu ili waone kuwa ‘matatizo’ haya nimepata kutoka kwa mama yangu,” alisema Sasha. Sasha kwa sasa amepotea kidogo kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu amerudi shule, anasoma Chuo cha Udaktari Bugando

STORI: Hamida Hassan
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger